Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 10:41-42

Luka 10:41-42 SRUV

Bwana akajibu akamwambia, Martha, Martha, unasumbuka na kufadhaika kwa ajili ya vitu vingi; lakini kinatakiwa kitu kimoja tu; na Mariamu amelichagua fungu lililo jema, ambalo hatanyang'anywa.

Soma Luka 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 10:41-42

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha