Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mambo ya Walawi 19:29-30

Mambo ya Walawi 19:29-30 SRUV

Usimnajisi binti yako, ili kumfanya awe kahaba; isiwe hiyo nchi kuuandama ukahaba, na nchi kujawa na uovu mkuu. Zishikeni Sabato zangu, mpaheshimu patakatifu pangu; mimi ndimi BWANA.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mambo ya Walawi 19:29-30

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha