Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 6:42

Yohana 6:42 SRUV

Wakasema, Je! Huyu siye Yesu, mwana wa Yusufu, ambaye twamjua babaye na mamaye? Sasa asemaje huyu, Nimeshuka kutoka mbinguni?

Soma Yohana 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 6:42

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha