Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 6:19-20

Yohana 6:19-20 SRUV

Basi wakavuta makasia kadiri ya maili tatu nne, wakamwona Yesu anakwenda juu ya bahari na kuikaribia mashua; wakaogopa. Naye akawaambia, Ni mimi, msiogope.

Soma Yohana 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 6:19-20

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha