Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 4:37-38

Yohana 4:37-38 SRUV

Kwa maana hapo neno hilo huwa kweli, Mmoja hupanda akavuna mwingine. Mimi niliwatuma myavune yale msiyoyataabikia; wengine walitaabika, nanyi mmeingia katika taabu yao.

Soma Yohana 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 4:37-38

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha