Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 12:41-43

Yohana 12:41-43 SRUV

Maneno hayo aliyasema Isaya, kwa kuwa aliuona utukufu wake, akataja habari zake. Lakini hata katika wakuu walikuwamo wengi waliomwamini; lakini kwa sababu ya Mafarisayo hawakumkiri, wasije wakatengwa na sinagogi. Kwa maana walipenda utukufu wa wanadamu kuliko utukufu wa Mungu.

Soma Yohana 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 12:41-43

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha