Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 5:19

Yeremia 5:19 SRUV

Tena itakuwa mtakapouliza, BWANA ametutenda mambo hayo yote kwa sababu gani? Ndipo utakapowaambia, Vile vile kama ninyi mlivyoniacha mimi, na kuwatumikia miungu mingine katika nchi yenu wenyewe, ndivyo mtakavyowatumikia wageni katika nchi isiyo yenu.

Soma Yeremia 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 5:19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha