Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wagalatia 1:3-4

Wagalatia 1:3-4 SRUV

Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba, na kwa Bwana wetu Yesu Kristo; ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili ya dhambi zetu, ili atuokoe na dunia hii mbovu iliyopo sasa, kama alivyopenda Mungu, Baba yetu.