Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 35:1-3

Kutoka 35:1-3 SRUV

Musa akakutanisha mkutano wote wa wana wa Israeli, na kuwaambia, Maneno aliyoyausia BWANA ni haya, kwamba myafanye. Fanyeni kazi siku sita, lakini siku ya saba itakuwa siku takatifu kwenu; ni Sabato ya kustarehe kabisa kwa BWANA; mtu yeyote atakayefanya kazi yoyote katika siku hiyo atauawa. Hamtawasha moto katika nyumba zenu kwa siku ya Sabato.

Soma Kutoka 35