Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Esta 10:1-2

Esta 10:1-2 SRUV

Basi mfalme Ahasuero alitoza kodi katika nchi na katika visiwa vya bahari. Na matendo yake yote yenye nguvu na ya ushujaa, na habari zote za ukuu wake Mordekai ambao alipewa na mfalme, hazikuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Umedi na Uajemi?

Soma Esta 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Esta 10:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha