Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 4:16-18

Kumbukumbu la Torati 4:16-18 SRUV

msije mkajiharibu nafsi zenu, mkajifanyia sanamu ya kuchonga, mfano wa sura yoyote, mfano wa mwanamume au mwanamke, mfano wa mnyama yeyote aliye duniani, au mfano wa ndege yeyote arukaye mbinguni, au mfano wa kitu chochote kitambaacho juu ya ardhi, au mfano wa samaki yeyote aliye katika maji chini ya nchi

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha