Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 13:10-11

Kumbukumbu la Torati 13:10-11 SRUV

Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na BWANA, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa. Na Israeli wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha