Kumbukumbu la Torati 11:4-5
Kumbukumbu la Torati 11:4-5 SRUV
na alivyolifanya jeshi la Misri, farasi wao, na magari yao; na alivyowafunika kwa maji ya Bahari ya Shamu walipokuwa wakiwaandama, na alivyowaangamiza BWANA hata hivi leo; na mambo aliyowafanyia ninyi nyikani, hadi mkafika mahali hapa