Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 23:4-5

Matendo 23:4-5 SRUV

Wale waliosimama karibu wakasema, Je! Unamtukana Kuhani Mkuu wa Mungu? Paulo akasema, Sikujua, ndugu zangu, ya kuwa yeye ni Kuhani Mkuu; maana imeandikwa, Usimnenee mabaya mkuu wa watu wako.

Soma Matendo 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 23:4-5

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha