Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 20:13-14

Matendo 20:13-14 SRUV

Lakini sisi tukatangulia kwenda merikebuni, tukaabiri kwenda Aso, tukikusudia kumpakia Paulo huko; kwa maana ndivyo alivyoagiza, yeye mwenyewe aliazimia kwenda kwa miguu. Alipotufikia huko Aso, tukampakia, kisha tukafika Mitilene.

Soma Matendo 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 20:13-14

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha