Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 2:36-37

Matendo 2:36-37 SRUV

Basi nyumba yote ya Israeli na wajue yakini ya kwamba Mungu amemfanya Yesu huyo mliyemsulubisha kuwa Bwana na Kristo. Walipoyasikia haya wakachomwa mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, Tutendeje, ndugu zetu?

Soma Matendo 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 2:36-37

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha