Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 2:34-35

Matendo 2:34-35 SRUV

Maana Daudi hakupanda mbinguni; bali yeye mwenyewe anasema, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti upande wa mkono wangu wa kulia. Hata nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.

Soma Matendo 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 2:34-35

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha