Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 1:9-10

2 Wakorintho 1:9-10 SRUV

Naam, sisi wenyewe tulikuwa na hukumu ya mauti katika nafsi zetu ili tusijitumainie nafsi zetu, bali tumtumaini Mungu, awafufuaye wafu, aliyetuokoa sisi katika mauti kuu namna ile; tena atatuokoa; ambaye tumemtumaini kuwa atazidi kutuokoa

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 1:9-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha