Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 1:1-2

2 Wakorintho 1:1-2 SRUV

Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na Timotheo ndugu yetu; kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, pamoja na watakatifu wote walioko katika nchi yote ya Akaya. Neema na iwe kwenu na amani, zitokazo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 1:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha