Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 4:5-6

1 Petro 4:5-6 SRUV

Nao watatoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa. Maana kwa ajili hiyo hata hao waliokufa walihubiriwa Injili, ili kwamba wahukumiwe katika mwili kama wahukumiwavyo wanadamu; bali wawe hai katika roho kama Mungu alivyo hai.

Soma 1 Petro 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 4:5-6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha