Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 12:29-31

1 Wakorintho 12:29-31 SRUV

Je! Wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni waalimu? Wote wanatenda miujiza? Wote wana karama za kuponya wagonjwa? Wote wanena kwa lugha? Wote wafasiri? Jitahidini sana kupata karama zilizo kuu. Na nitawaonesheni njia iliyo bora zaidi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 12:29-31

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha