Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 22:14-15

Ufu 22:14-15 SUV

Heri wazifuao nguo zao, wawe na amri kuuendea huo mti wa uzima, na kuingia mjini kwa milango yake. Huko nje wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya.

Soma Ufu 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 22:14-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha