Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 24:21-22

Mit 24:21-22 SUV

Mwanangu, mche BWANA, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu; Maana msiba wao utatokea kwa ghafula; Tena ni nani aujuaye uharibifu wa miaka yao.

Soma Mit 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 24:21-22

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha