Mit 17:2-3
Mit 17:2-3 SUV
Mtumwa atendaye kwa busara atamtawala mwana atendaye mambo ya aibu; Tena atapata sehemu ya urithi kati ya ndugu. Kalibuni kwa fedha, na tanuru kwa dhahabu; Bali BWANA huijaribu mioyo.