Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Law 19:29-30

Law 19:29-30 SUV

Usimnajisi binti yako, ili kumfanya awe kahaba; isiwe hiyo nchi kuuandama ukahaba, na nchi kujawa na uovu mkuu. Zishikeni Sabato zangu, mpaheshimu patakatifu pangu; mimi ndimi BWANA.

Soma Law 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Law 19:29-30

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha