Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 20:27-28

Yn 20:27-28 SUV

Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye. Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!

Soma Yn 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 20:27-28

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha