Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 15:30-35

Mdo 15:30-35 SUV

Hata hao wakiisha kupewa ruhusa wakatelemkia Antiokia; na baada ya kuwakusanya jamii yote wakawapa ile barua. Nao walipokwisha kuisoma wakafurahi kwa ajili ya faraja ile. Tena Yuda na Sila, kwa kuwa wao wenyewe ni manabii, wakawausia ndugu kwa maneno mengi, wakawathibitisha. Na wakiisha kukaa huko muda, wakaruhusiwa na ndugu waende kwa amani kwa hao waliowatuma. [ Lakini Sila akaona vema kukaa huko.] Na Paulo na Barnaba wakakaa huko Antiokia, wakifundisha na kulihubiri neno la Bwana, pamoja na watu wengine wengi.

Soma Mdo 15

Video ya Mdo 15:30-35