Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 10:1-2

Warumi 10:1-2 NENO

Ndugu zangu, shauku ya moyo wangu na maombi yangu kwa Mungu ni kwa ajili ya Waisraeli, kwamba waokolewe. Kwa maana ninaweza nikashuhudia wazi kwamba wao wana juhudi kubwa kwa ajili ya Mungu, lakini juhudi yao haina maarifa.

Video ya Warumi 10:1-2