Bali Mungu ndiye ahukumuye: Humshusha huyu na kumkweza mwingine.
Soma Zaburi 75
Sikiliza Zaburi 75
Shirikisha
Linganisha Matoleo Yote: Zaburi 75:7
31 Siku
Karibu katika mpango huu wa Soma Biblia Kila Siku mwezi wa Mei. Utasoma kitabu cha Zaburi, 1 Wakorintho, na Luka. Utapata pia maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa na kutafakari Neno ulilosoma. Isipokuwa imeandikwa vinginevyo, nukuu zote za Biblia katika mpango huu zimechukuliwa kutoka katika Swahili Union Version (SUV).
Hifadhi mistari, soma bila mtandao, tazama klipu za mafunzo, na zaidi!