Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 37:23-24

Zaburi 37:23-24 NENO

Kama BWANA akipendezwa na njia ya mtu, yeye huimarisha hatua zake, ajapojikwaa, hataanguka, kwa maana BWANA humtegemeza kwa mkono wake.