Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 30:11-12

Zaburi 30:11-12 NENO

Uligeuza maombolezo yangu kuwa kucheza, ulinivua gunia ukanivika shangwe, ili moyo wangu uweze kukusifu na usikae kimya. Ee BWANA Mungu wangu, nitakushukuru milele.