Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 22:27-28

Zaburi 22:27-28 NENO

Miisho yote ya dunia itakumbuka na kumgeukia BWANA, nazo jamaa zote za mataifa zitasujudu mbele zake, kwa maana ufalme ni wa BWANA naye huyatawala mataifa.