Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:134-136

Zaburi 119:134-136 NEN

Niokoe na uonevu wa wanadamu, ili niweze kutii mausia yako. Mwangazie mtumishi wako uso wako na unifundishe amri zako. Chemchemi za machozi zinatiririka kutoka machoni yangu, kwa kuwa sheria yako haifuatwi.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha