Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:126-128

Zaburi 119:126-128 NEN

Ee BWANA, wakati wako wa kutenda umewadia, kwa kuwa sheria yako inavunjwa. Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu, naam, zaidi ya dhahabu safi, na kwa sababu naona maagizo yako yote ni adili, nachukia kila njia potovu.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha