Zaburi 103:15-16
Zaburi 103:15-16 NENO
Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani, anachanua kama ua la kondeni; upepo huvuma juu yake nalo hutoweka, mahali pake hapalikumbuki tena.