Mithali 6:10-11
Mithali 6:10-11 NENO
Kulala kidogo, kusinzia kidogo, kukunja mikono kidogo upate kupumzika: umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.