Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 31:14-15

Mithali 31:14-15 NEN

Yeye ni kama meli za biashara akileta chakula chake kutoka mbali. Yeye huamka kungali bado giza huwapa jamaa yake chakula na mafungu kwa watumishi wake wa kike.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 31:14-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha