Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 3:13-15

Mithali 3:13-15 NEN

Heri mtu yule aonaye hekima, mtu yule apataye ufahamu, kwa maana hekima ana faida kuliko fedha na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi. Hekima ana thamani kuliko marijani; hakuna chochote unachokitamani kinachoweza kulinganishwa naye.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 3:13-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha