Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 24:30-31

Mithali 24:30-31 NEN

Nilipita karibu na shamba la mvivu, karibu na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili, miiba ilikuwa imeota kila mahali, ardhi ilikuwa imefunikwa na magugu, na ukuta wa mawe ulikuwa umebomoka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 24:30-31

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha