Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 17:2-3

Mithali 17:2-3 NENO

Mtumishi mwenye hekima atamtawala mwana aaibishaye, naye atashirikiana katika urithi kama mmoja wa hao ndugu. Kalibu husafisha fedha na tanuru husafisha dhahabu, bali BWANA huujaribu moyo.