Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 14:2

Hesabu 14:2 NENO

Waisraeli wote wakanungʼunika dhidi ya Musa na Haruni, na kusanyiko lote wakawaambia, “Laiti tungekuwa tumefia humo nchi ya Misri! Au humu kwenye hili jangwa!