Mika 4:2
Mika 4:2 NENO
Mataifa mengi yatakuja na kusema, “Njooni, twendeni kwenye mlima wa BWANA, kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo. Atatufundisha njia zake, ili tuweze kuenenda katika mapito yake.” Sheria itatoka Sayuni, neno la BWANA litatoka Yerusalemu.