Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 14:22-23

Mathayo 14:22-23 NEN

Mara Yesu akawaambia wanafunzi wake waingie katika mashua wamtangulie kwenda ngʼambo ya bahari, wakati yeye alikuwa akiaga ule umati. Baada ya kuwaaga, akaenda zake mlimani peke yake kuomba. Jioni ilipofika, Yesu alikuwa huko peke yake.