Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 12:46-47

Mathayo 12:46-47 NEN

Wakati alikuwa angali anazungumza na makutano, mama yake na ndugu zake wakasimama nje wakitaka kuongea naye. Ndipo mtu mmoja akamwambia, “Tazama, mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kuongea na wewe.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 12:46-47

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha