Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 12:41

Mathayo 12:41 NEN

Siku ya hukumu watu wa Ninawi watasimama pamoja na kizazi hiki na kukihukumu; kwa maana wao walitubu waliposikia mahubiri ya Yona. Na tazama, hapa yupo yeye aliye mkuu kuliko Yona.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 12:41

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha