Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 2:46-47

Luka 2:46-47 NEN

Baada ya siku tatu wakamkuta ndani ya Hekalu, akiwa ameketi katikati ya walimu wa sheria, akiwasikiliza na kuwauliza maswali. Wote waliomsikia walistaajabishwa na uwezo wake mkubwa wa kuelewa, na majibu aliyoyatoa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 2:46-47

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha