Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 12:57-59

Luka 12:57-59 NEN

“Kwa nini hamwamui wenyewe lililo haki? Uwapo njiani na mshtaki wako kwenda kwa hakimu, jitahidi kupatana naye mkiwa njiani. La sivyo, atakupeleka kwa hakimu, naye hakimu atakukabidhi kwa afisa, naye afisa atakutupa gerezani. Nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 12:57-59

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha