Walawi 9:24
Walawi 9:24 NENO
Moto ukaja kutoka kwa uwepo wa BWANA, ukaiteketeza ile sadaka ya kuteketezwa, pamoja na sehemu ya mafuta yaliyokuwa juu ya madhabahu. Watu wote walipoona jambo hili, wakashangilia kwa furaha na kusujudu.