Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 7:22-24

Walawi 7:22-24 NEN

BWANA akamwambia Mose, “Waambie Waisraeli: ‘Msile mafuta yoyote ya ngʼombe, kondoo wala mbuzi. Mafuta ya mnyama aliyekutwa amekufa au ameraruliwa na mnyama pori yanaweza kutumika kwa kazi nyingine yoyote, lakini kamwe msiyale.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Walawi 7:22-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha