Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoshua 1:7

Yoshua 1:7 NEN

Uwe hodari na uwe na ushujaa mwingi. Uwe na bidii kutii sheria yote aliyokupa Mose mtumishi wangu, usiiache kwa kugeuka kuelekea kuume au kushoto, ili upate kufanikiwa popote uendako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yoshua 1:7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha